Fast Checkout
Barcode scanning na multi-item selling zinapunguza muda wa checkout na kuboresha customer flow.
Kwa supermarket, changamoto sio kuuza tu. Ni kusimamia cashiers wengi, bidhaa nyingi, na branch operations kwa control moja. DukaLangu POS imejengwa kushughulikia mazingira hayo kwa urahisi.
Barcode scanning na multi-item selling zinapunguza muda wa checkout na kuboresha customer flow.
Weka roles tofauti: cashiers, supervisors, managers. Zuia access ya buying price/profit inapohitajika.
Kwa multi-shop support, unaweza kufuatilia performance ya kila branch kutoka sehemu moja.
Smart discount limits zinakusaidia kuzuia offers zinazoweza kuharibu margin. Ukijumlisha expenses, buying price, na selling price, mfumo unakupa profit/loss view inayoweza kusaidia maamuzi ya management.
Kwa supermarket, tathmini uratibu wa watu na taarifa badala ya kuangalia kasi ya cashier pekee. Andika nani anauza, nani anakagua reports na nani anapaswa kuona buying price au profit.
Multi-shop support haimaanishi idadi isiyo na kikomo ya matawi au users kwa bei moja. Thibitisha mahitaji ya biashara yako; features na bei iliyochapishwa ni sehemu ya tathmini hiyo.