DUKALANGU POS · MADE FOR YOUR BUSINESS

Simu yako.
Duka lako.
Udhibiti wako.

Pakua DukaLangu POS kupitia Google Play kwa Android au App Store kwa iPhone kwa kutumia viungo hapa chini. App inakusaidia kurekodi mauzo, kusimamia stock na kufuatilia faida ya biashara.

Chagua store ya simu yako. Una akaunti tayari? Fungua DukaLangu kwenye web →

SALES · STOCK · PROFITMuonekano wa DukaLangu POS wa kurekodi mauzo
Biashara iko mikononi mwako.Kutoka mauzo ya kwanza hadi taarifa za siku.
ZAIDI YA APP YA MAUZO

Vitu muhimu vya duka, sehemu moja.

01

Mauzo yenye mpangilio

Rekodi bidhaa nyingi kwenye mauzo moja, tumia barcode na uza kwa vipimo kama 1/2 au 1/4.

02

Stock inayoeleweka

Fuatilia bidhaa zinazoingia na kutoka ili kupanga manunuzi kwa taarifa badala ya kubahatisha.

03

Ijue faida ya biashara

Linganisha bei ya kununua, mauzo na expenses ili kuelewa profit na loss ya duka lako.

Gundua features zote →
ANZA KWA HATUA TATU

Kutoka download
hadi biashara yenye mpangilio.

Unahitaji msaada wa setup? Timu yetu inaweza kukuelekeza.

Omba demo →
  1. Pakua app

    Fungua Google Play au App Store na sakinisha DukaLangu.

  2. Weka biashara yako

    Fungua app na fuata hatua za akaunti. Wasiliana nasi ukihitaji msaada wa kuanza.

  3. Panga bidhaa, anza mauzo

    Andaa bidhaa zako, stock na watumiaji kulingana na mahitaji ya biashara.

BEI RAHISI. MWANZO WENYE THAMANI.

Biashara yako, hatua moja mbele.

Offer ya kuanza: mwezi 1 wa kulipia + mwezi 1 bure. Jumla miezi 2 ya kutumia DukaLangu. Baada ya miezi 2 ya mwanzo, malipo ya kuendelea ni TZS 10,000 kwa mwezi.

Angalia bei na masharti yote →
10,000 TZS

Malipo ya kuanza · miezi 2 kwa offer

Nisaidie kuanza →

Kabla hujapakua

App inapatikana kwa simu gani?

Tumia Google Play kwa Android au App Store kwa iPhone. Angalia mahitaji ya toleo la mfumo wa simu kwenye store husika.

Kupakua app na kulipia huduma ni kitu kimoja?

Link inakupeleka kwenye store ya app. Bei ya huduma na offer ya kuanza imeelezwa kwenye ukurasa wa bei; hakiki masharti kabla ya kulipia.

Nikipata changamoto napata msaada wapi?

Tembelea Wasiliana Nasi au piga +255 692 747 320 kwa maelekezo.