TOOLS ZINAZOFANYA KAZI PAMOJA

Features za DukaLangu POS kwa Shops za Tanzania

DukaLangu POS inasaidia kurekodi mauzo, kusimamia stock na expenses, na kufuatilia profit/loss. Maduka, mini markets na supermarkets yanaweza kutumia barcode, seller permissions na multi-shop support kulingana na shughuli zao.

01

Barcode scanning

Scan bidhaa wakati wa checkout ili kupunguza kuandika taarifa za bidhaa manually.

02

Mauzo ya bidhaa nyingi

Rekodi bidhaa nyingi katika transaction moja na fanya kazi kwa mpangilio.

03

Uuzaji kwa fractions

Uza kwa 1/2, 1/4 au quantity nyingine kulingana na bidhaa yako.

04

Stock management

Fuatilia stock movement na bidhaa zinazoisha ili kupanga manunuzi.

05

Multi-shop support

Simamia zaidi ya duka moja katika mfumo mmoja.

06

Seller permissions

Panga roles na zuia taarifa kama buying price na profit kwa sellers wasiopaswa kuziona.

07

Discount limits

Weka mipaka ya discount kulingana na ruhusa ili kusaidia kulinda margin.

08

Profit na loss

Tumia buying price, selling price na expenses kufuatilia faida ya biashara.

09

Taarifa za biashara

Angalia mwenendo wa mauzo, stock na gharama kwa maamuzi ya kila siku.

TAARIFA BORA, MAAMUZI BORA

Ona picha pana ya biashara.

Fuatilia sales, stock na expenses. Panga ununuzi na kazi za timu kwa kutumia taarifa za biashara yako.

Ona mfumo kwenye demo →
Dashboard ya DukaLangu ya mauzo na taarifa za biashara
HATUA INAYOFUATA

Mpangilio bora unaanza hapa.

Pakua app au ongea na timu yetu kuhusu mahitaji ya biashara yako.