Urahisi wa kazi
Mauzo ya bidhaa nyingi na barcode vinasaidia kupunguza hatua za kuandika bidhaa wakati wa checkout.
DukaLangu POS ni mfumo wa mauzo, stock na taarifa za faida kwa maduka, mini markets na supermarkets Tanzania. Unasaidia kuunganisha rekodi za mauzo, bidhaa na expenses kwa usimamizi wa biashara wa kila siku.
Kwa maduka, mini markets na supermarkets.

Kusimamia duka kunahusisha zaidi ya kuuza. Unahitaji kujua bidhaa zilizobaki, gharama zinazoathiri faida na namna timu yako inavyofanya kazi.
DukaLangu inaweka mauzo, inventory na expenses pamoja. Lengo ni kukusaidia kuona biashara yako kwa uwazi, iwe una duka moja au unasimamia matawi.
Ona jinsi mfumo unavyosaidia →Mauzo ya bidhaa nyingi na barcode vinasaidia kupunguza hatua za kuandika bidhaa wakati wa checkout.
Stock, mauzo na gharama zinakupa msingi wa kupanga manunuzi na kufuatilia mwenendo wa biashara.
Panga roles za wauzaji, zuia taarifa nyeti kama buying price na profit, na dhibiti discount kulingana na ruhusa.
Panga bidhaa, rekodi mauzo na fuatilia stock ya kila siku.
Tumia barcode na taarifa za inventory kusaidia shughuli za duka.
Simamia sellers na ruhusa zao pamoja na biashara yenye zaidi ya duka moja.
Offer ya kuanza: mwezi 1 wa kulipia + mwezi 1 bure. Jumla miezi 2 ya kutumia DukaLangu. Baada ya miezi 2 ya mwanzo, malipo ya kuendelea ni TZS 10,000 kwa mwezi.
Angalia bei na masharti yote →Malipo ya kuanza · miezi 2 kwa offer
Nisaidie kuanza →Tupate Sinza C, Kati Road, Dar es Salaam, Tanzania. Tuambie aina ya biashara yako ili tukuelekeze hatua zinazofuata.