BEI WAZI. BIASHARA YENYE MPANGILIO.

Pricing ya DukaLangu POS

Malipo ya kwanza ni TZS 10,000 kwa mwezi 1 wa kulipia + mwezi 1 bure, jumla miezi 2. Baada ya miezi 2 ya mwanzo, malipo ya kuendelea ni TZS 10,000 kwa mwezi.

OFFER YA MWANZO

DukaLangu POS

10,000 TZS

Mwezi 1 wa kulipia + mwezi 1 bure.
Jumla miezi 2 kwa malipo ya kwanza. Baada ya miezi 2 ya mwanzo, malipo ya kuendelea ni TZS 10,000 kwa mwezi.

Anza na DukaLangu ↗
VINAVYOJUMUISHWA

Tools muhimu za duka lako.

  • Barcode scanning na mauzo ya bidhaa nyingi
  • Uuzaji kwa fractions kama 1/2 au 1/4
  • Stock na inventory management
  • Multi-shop support
  • Sellers wengi na role permissions
  • Udhibiti wa buying price na profit kwa sellers
  • Discount limits kwa kulinda margin
  • Profit/loss pamoja na expenses
  • Reports za mauzo na stock
  • Msaada kupitia simu na WhatsApp

Maswali kuhusu malipo

Malipo ya kwanza yananipa muda gani?

Kwa offer ya kuanza, lipa 10,000 TZS upate mwezi 1 wa kulipia + mwezi 1 bure, jumla miezi 2. Baada ya miezi 2 ya mwanzo, malipo ya kuendelea ni TZS 10,000 kwa mwezi.

Naweza kulipa kwa njia gani?

Wasiliana na timu ya DukaLangu kupata njia na maelekezo ya malipo yaliyothibitishwa kabla ya kulipia.

Nina biashara yenye matawi, nianzie wapi?

Tuambie mahitaji yako ili kupata maelekezo ya setup na uthibitisho wa masharti yanayohusu biashara yako.

HATUA INAYOFUATA

Mpangilio bora unaanza hapa.

Pakua app au ongea na timu yetu kuhusu mahitaji ya biashara yako.