Quick Selling
Uza bidhaa nyingi haraka, scan barcode, na print receipt kwa workflow rahisi.
Ukiwa dukani, unahitaji app ambayo ni nyepesi, ya haraka, na inaeleweka. DukaLangu POS inakupa uwezo wa kuuza, ku-manage stock, na kuona taarifa za biashara bila kubadilisha apps nyingi.
Uza bidhaa nyingi haraka, scan barcode, na print receipt kwa workflow rahisi.
Weka users tofauti, toa permissions, na zuia access ya data confidential kwa role zisizohusika.
Pata profit/loss kwa kutumia buying price, selling price, na expenses za biashara.
Unaweza kuanza kwa kuangalia pricing, kuomba demo, au kuongea na timu ya support.
Kupakua app na kulipia huduma ni hatua tofauti. Malipo ya kwanza ni TZS 10,000 kwa mwezi 1 wa kulipia + mwezi 1 bure, jumla miezi 2. Baada ya miezi 2 ya mwanzo, malipo ya kuendelea ni TZS 10,000 kwa mwezi. Maelezo ya bei.
Kwa swali kuhusu vifaa au namna ya kuanza, wasiliana na timu na eleza simu na workflow yako.