Maduka ya Kawaida
Kwa duka la mtaani linalotaka mfumo wa mauzo ya duka ulio rahisi kutumia kila siku.
- - POS ya duka Tanzania
- - Sales and stock management
- - Profit tracking ya kila siku
DukaLangu POS ni mfumo wa mauzo wa duka kwa shop owners, mini markets, na supermarkets. Fanya mauzo haraka, simamia inventory, na fuatilia profit/loss kwa urahisi.
Bei: 10,000 TZS tu - mwezi 1 wa kulipia + mwezi 1 bure (jumla miezi 2).
4.8/5 Rating
from happy users

DukaLangu POS inasaidia shop owners kusimamia biashara kitaalamu bila ugumu. Utaweza kuona sales, stock movement, na profit kwa urahisi kila siku.
Iwe una duka moja au branch nyingi, DukaLangu inakupa tools za kufanya maamuzi ya haraka na sahihi. Bei ni 10,000 TZS, na offer ya mwezi 1 wa kulipia + mwezi 1 bure (jumla miezi 2).
Unataka kuona jinsi inavyofanya kazi? Tembelea key features au pricing summary.
Sales, stock, inventory, na expenses vipo sehemu moja. Hakuna kurukaruka apps nyingi.
Pata taarifa muhimu kwa wakati: mauzo, gharama, faida, na performance ya bidhaa.
Smart discount limits na role permissions zinasaidia kulinda biashara yako dhidi ya hasara.
Imejengwa kwa mahitaji ya duka, mini market, na supermarket za Tanzania.
1,000+
Active Users
50,000+
Transactions Daily
10,000
TZS Price
2 Months
First Payment Offer
Inventory Management for Shops in Tanzania, pamoja na tools za mauzo, staff control, na profit visibility.
Scan bidhaa kwa haraka wakati wa mauzo na kupunguza makosa ya kuandika bidhaa manually.
Checkout faster, queue fupi dukani
Fanya mauzo ya bidhaa nyingi kwa transaction moja bila kupoteza muda.
Mauzo mengi ndani ya muda mfupi
Uza bidhaa kwa vipande kama 1/2, 1/4 au quantity nyingine ndogo kulingana na biashara yako.
Inafaa kwa maduka ya vyakula na mini market
Simamia branch zaidi ya moja kwenye mfumo mmoja wa DukaLangu POS.
Control biashara zako zote sehemu moja
Ongeza sellers wengi na utoe role/permissions tofauti kwa kila muuzaji.
Team management iliyo wazi na salama
Wauzaji hawataona buying price au profit data zisizotakiwa kwa role yao.
Linda taarifa nyeti za biashara
Weka discount limit inayo-protect profit ili mauzo yasishuke chini ya kiwango salama.
Discount kwa control, sio kwa hasara
Pata P/L kwa kutumia buying price, selling price, na expenses kwa maamuzi sahihi.
Jua faida halisi ya biashara yako
Fuatilia sales, stock levels, expenses, na profit trend kwa dashboard moja. Hii inakusaidia kufanya maamuzi ya haraka kila siku.


Tumia app ya DukaLangu kuona transactions, stock, na reports muda wowote. Inafaa kwa maduka madogo hadi supermarkets.
DukaLangu POS imejengwa kwa biashara za ukubwa tofauti, kutoka duka moja hadi supermarket.
Kwa duka la mtaani linalotaka mfumo wa mauzo ya duka ulio rahisi kutumia kila siku.
Kwa mini market yenye bidhaa nyingi inayohitaji barcode na inventory management Tanzania.
Kwa supermarket inayotaka multi-shop na multi-seller permissions bila kuathiri data nyeti.
Plan moja yenye kila kitu unachohitaji kusimamia mauzo, stock, na biashara.
Lipa 10,000 TZS upate mwezi 1 + mwezi 1 bure (jumla miezi 2).
Inafaa kwa duka, mini market, supermarket, na biashara ndogo.
Haya ni maswali ambayo wamiliki wa duka huuliza mara nyingi kabla ya kuchagua POS Tanzania.
Bei ni 10,000 TZS tu: mwezi 1 wa kulipia + mwezi 1 bure (jumla miezi 2). Hii ni njia rahisi ya kuanza kuboresha mauzo na stock ya biashara yako.
Tazama features, FAQ, au wasiliana nasi moja kwa moja. Tutakusaidia kuchagua setup sahihi kwa duka, mini market, au supermarket yako.
Umeuliza, tumejibu. Ukihitaji msaada wa haraka, timu ya DukaLangu ipo tayari.